Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida
(Hospitali ya Mkoa)

Ukaribisho

profile

DKT. DAVID J MWASOTA, DAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA NDANI
Kaimu Mganga Mfawidhi

Napenda kukukaribisha katika Tovuti hii ya Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Singida. Katika tovuti hii utapata taarifa muhimu sana, za uhakika kuhusu huduma zetu. Mimi na watumishi wote wa hospitali hii tupo tayari kabisa kukuhudumia, hivyo karibu upate huduma zetu za matibabu ya kawaida n...

Read more

Huduma zetu All

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Singida tunatoa huduma za upasuaji wa aina mbili;

  1.  Upasuaji wa jumla na matatizo ya mkojo,
  2. Upasuaji wa mifupa.

Ili mgonjwa apate huduma atatakiwa kuhuduria kliniki ya huduma husika kwa ratiba ya

kliniki husika ka...

readmore

Huduma hii huwahusisha wagonjwa wanaosumbuliwa na magonjwa ya ndani. 

Wagonjwa hawa huwa huwa wanaonwa kupitia kliniki husika kwa matibabu. 

Pia huduma ya kulazwa kwa wagonjwa hawa inapatikani kupitia  wodi zetu ambazo  

zimegawanyika katika maku...

readmore

Tuna maabara kubwa na ya kisasa ambayo inauwezo mkubwa wa kufanya vipimo mbali mbali kwani ni ya kisasa na inayoendana na kasi ya teknolojia. Aidha tuna watumishi wenye uwezo mkubwa na wazoefu sana katika huduma hizi za maabara. Majibu yote yanayotolewa n...

readmore

Matukio All

  • No records found

Patient Visiting hours

Jumatatu-Jumapili

  • From 06:00 to 07:30
  • From 12:00 to 13:30
  • From 16:30 to 18:00

health education All

FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA EBOLA NA JINSI YA KUJIKINGA

UTANGULIZI    

Ugonjwa wa Ebola ni ugonjwa wa hatari unaosababishwa na virusi vya Ebola. Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa ya milipuko yajulikananyo kama homa za virusi vinavyosababisha kutoka damu mwilini

Ugonjwa huu kwa asili upo kwa wanyama ka...

read more

Ministry Content All