Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida
(Hospitali ya Mkoa)

Kliniki ya Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Jumla na Matatizo ya Mkojo

Posted on: November 12th, 2024

Ili mgonjwa apate huduma atatakiwa kuhuduria kliniki ya huduma husika kwa ratiba ya

kliniki husika kama ratiba ianvyoonesha isipokua kwa wagonjwa wa dharura tu.

Dharura za upasuaji hufanyika pale zinapojitokeza  na hapa shughuli zingine huwa zinasitishwa

kwa muda kupisha dharura husika.