Malengo
A. Kupunguza maambukizi ya virusi vya ukimwi na kuboresha utohaji wa huduma.
B Kujenga uwezo wa ndani wa taasisi ili kuweza kufikia malengo tuliyojiwekea..
C. Kuanzishwa kwa mafunzo na maendeleo ya kitaaluma kwa kada za afya.
D. kuboresha utoaji wa huduma kinga.