Kliniki ya Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Mifupa
Posted on: December 3rd, 2023Kliniki Ya Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Mifupa hufanyika siku za jumanne na Ijumaa kama inavyoonekana kwenye ratiba. Kiliniki hii huendeshwa na Daktari Bingwa wa mifupa. Kliniki hii ni moja ya kliniki za kibingwa tulizonazo katika hospitali yetu. karibu tukuhudumie.