Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida
(Hospitali ya Mkoa)

Namuonaje Daktari bingwa

Unaweza kumuona daktari bingwa kwa kufika hospitali siku ya kliniki ya daktari husika. Ili kujua siku ya kliniki hiyo unaweza kuiona ratiba ya kliniki kwa kubofya sehemu ya huduma zetu au semu ya kliniki katika tovoti hii na utaiona ratiba. Ukifika Hospitali anzia sehemu ya mapokezi/huduma kwa mteja na uwaeleze kuwa unahitaji kumuona daktari bingwa na baada ya usajili watakuelekeza.