Kliniki zinazofanyika Idara ya Wagonjwa wa Nje (OPD)
Posted on: December 3rd, 2023Hii inahisisha kliniki za aina mbili;
- Kliniki maalumu za magonjwa ya ngozi, magonjwa ya sukari, magonjwa ya akili, na magonjwa ya ndani.
- Kliniki za magonjwa mchanganyiko (ya kawaida)
- Kliniki za magonjwa ya ngozi na magonjwa ya akili hufanyika kila siku ya wiki isipokua sikuza wikiendi.
- Kliniki ya magonwa ya ndani hufanyiki kila siku ya Jumatano.
- Kliniki ya magonjwa mchanganyiko hufanyika saa 24 siku saba za wiki.
- kliniki ya magonjwa ya Sukari hufanyika kama inavyoonekana kwenye ratiba hapa chini;
RATIBA YA KLINIKI YA MAGONJWA YA SUKARI
SIKU | HUDUMA |
JUMATATU | KLINIKI YA KISUKARI KWA WATU WAZIMA |
JUMANNE | KLINIKI YA KISUKARI KWA WATOTO |
ALHAMISI | KLINIKI YA KISUKARI KWA WATU WAZIMA |