Huduma za mionzi na Picha
Posted on: April 21st, 2025Huduma hii inahusisha vipimo vya X ray na Ultrasound. Hospitali yetu ina mashine za kisasa kabisa kwa ajili ya vipimo hivyo tukiwa na wataalamu wa wazoefu kwa huduma, vipimo hivyo akiwemo Daktari wa mionzi.